Senene,Senene ,Senene Bukoba !
Ule msimu kwa wenyeji na wakazi wa Mkoa wa Kagera wa kususia ulaji wa nyama na kujikita katika mboga maaaaaaaaaaarufu yaani senene sasa umefika.
Katika mitaa ,nyumbani,maofisini hivi sasa ni senene mtindo mmoja
Ebu mpigie jaa yako anayeishi Bukoba akutumie kidogo,taarifa za walaji ni kuwa senene wa mwaka huu ni watamu kuliko miaka ya nyuma.
chao

No comments:
Post a Comment