VIAZI
Leo katika blog yetu hii tunawaretea viazi mbalimbali amabavyo vinapatikana katika wilaya yetu ya muleba ambavyo wananchi wa wilaya hii wamevipa kipaumbele katika mlo wa kila siku pamoja na kujipatia kipato kwa kuuza viazi kwa watu mbalimbali na mikoa ya jilani ungana nasi uone picha za viazi hivi.
No comments:
Post a Comment